Mark 9:49-50

49 a Kila mmoja atatiwa chumvi kwa moto.

50 b “Chumvi ni nzuri, lakini ikipoteza ladha yake utaifanyaje ili iweze kukolea tena? Mwe na chumvi ndani yenu, mkaishi kwa amani, kila mmoja na mwenzake.”

Copyright information for SwhNEN